Fundigari Academy

Tujifunze teknolojia za magari na namna ya kutatua hitilafu zinazojitokeza katika mifumo ya magari.

Tovuti hii itashirikiana nawe katika kutumia lugha ya kiswahili kunyambua na kufafanua technologia zilizopo katika magari kwa kuangalia matumizi ya vifaa, mifumo ya umeme na kimekanika.

Uliza swali, ongeza palipopungua, rekebisha palipokosewa kwani chaneli hii ni ya mafundi na wanafunzi wa ufundi na katika kubadilishana, kujifunza na kukuza ujuzi wa fundi gari.