Kilimosmartprojects KSP

KSP ni chaneli ya kilimo inatoa mafunzo mbalimbali juu ya kilimo biashara, Mafunzo ya mbolea na sumu za Mmea. Tunatoa elimu kwa wajasiriamali na wakulima mbalimbali namna ya kufanya kilimo bora kwa kutumia teknolojia mpya ya kilimo, miundombinu ya umwagiliaji nk. Pia KSP inatoa huduma za kusimamia miradi mbalimbali ya kilimo kwa njia ya kisasa zaidi, huduma ya kufunga miundombinu ya umwagiliaji nk. Kwa mawasiliano zaidi piga namba +255767406211 . Asante

Instagram: kilimosmartprojects
Facebook: kilimosmartprojects
WhatsApp +255 767 406 211
Phone: +255 767 406 211