KUMBE VANILA PESA IPO, LAZIMA NILIME VANILA SIO KWA THAMANI YA ZAO HILI 🔥🔥🔥
Автор: Kilimosmartprojects KSP
Загружено: 2024-08-23
Просмотров: 162
Mwanzo ilifahamika kuwa ni uongo kutokana na taarifa kuenea mitandaoni za Bei ya VANILA. ila wachache waliolima zao hilo bila kukata tamaa leo wanacheka na nyavu. Wengi walikosea kwa kutojua mazingira sahihi ya zao hili na namna ya kulima ila katika video hii Kuna maelezo ya kina namna ya kulima na kuhudumia zao hili.
Mbegu ya VANILA ipo wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi.
Piga #0767406211
#vanilla
#itv
#tbc
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: