MKONGWE FARMS

Mkongwe Farm ni mahali unapojifunza kila kitu kuhusu ufugaji wa kisasa na kilimo chenye faida.
Hapa utapata:
✅ Mbinu rahisi za kufuga kuku, ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine.
✅ Elimu ya magonjwa ya mifugo na tiba zake.
✅ Njia za kuongeza faida kwenye shamba lako.
✅ Uzoefu na mahojiano na wafugaji na wakulima waliofanikiwa.
✅ Motivation na mbinu za kibiashara kupitia kilimo na ufugaji.

🎯 Lengo letu ni kukuza ufugaji wa kisasa Tanzania na Afrika, huku tukikupa maarifa yatakayokuwezesha kutoka hatua ya mwanzo hadi kufanikisha biashara kubwa ya mifugo.

👉 Subscribe sasa ili uwe sehemu ya familia ya Mkongwe Farm na ujifunze njia bora za kufuga kwa faida, kilimo bora na maisha ya kijijini yenye mafanikio.

🔔 Usisahau kubonyeza notification bell ili usipitwe na video mpya kila wiki!