Jinsi ya Kuchagua Jogoo Bora wa Kuku wa Mbegu 🐓 | Siri ya Jogoo Anayezaa Vizuri na Kuku Wenye Afya
Автор: MKONGWE FARMS
Загружено: 2025-11-10
Просмотров: 290
📝 Description (Maelezo ya Video)
Unataka kujua namna ya kuchagua jogoo bora wa kuku wa mbegu? 🐔
Katika video hii, Ringson Daudi Mkongwe anaeleza kwa undani mambo muhimu ya kuangalia kwenye muonekano wa jogoo kabla ya kumtumia kuzalisha kuku bora.
Utajifunza:
Jinsi ya kutambua jogoo mwenye nguvu na afya 💪
Ishara za jogoo mwenye mbegu zenye ubora wa juu
Makosa ambayo wafugaji wengi hufanya wanapochagua jogoo
Siri ya kuku kuzaliana vizuri na kuongeza uzalishaji wa mayai
👉 Tazama video hadi mwisho ujifunze kuchagua jogoo bora utakayejivunia kwenye banda lako!
📌 Usisahau ku-subscribe, kufanya like, na kushare ili wafugaji wengine nao wajifunze.
Whatsapp 0784351550
Tags
jinsi ya kuchagua jogoo bora,
jogoo wa kuku wa kienyeji,
ufugaji wa kuku,
kuku wa mbegu bora,
ufugaji wa kuku wa kienyeji Tanzania,
jogoo mzuri wa kuzalisha,
mbegu bora za kuku,
Ringson Mkongwe,
kuchagua jogoo wa mbegu,
jinsi ya kutambua jogoo mwenye afya,
mafundisho ya ufugaji wa kuku,
siri za kufuga kuku,
kuku wa kienyeji bora,
jinsi ya kuchagua kuku wa uzazi,
kuku wa mayai Tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: