AKILIFY MEDIA

Hii ni channel ya Kitanzania Yenye lengo la Kufundisha , kuburudisha na Kuelemisha Dunia kwa Ujumla ,juu ya Masuala mbali mbali ya kijamii na Utapata stori mbali mbali zenye lengo la kuelimisha na kukuvusha kwenye maisha haya..