UVAAJI WA PETE NA MAANA ZAKE KWENYE KILA KIDOLE | SIRI NZITO IMEFICHUKA
Автор: AKILIFY MEDIA
Загружено: 2025-05-16
Просмотров: 1653
UVAAJI WA PETE NA MAANA ZAKE KWENYE KILA KIDOLE | SIRI NZITO IMEFICHUKA ,
Katika jamii yetu watu hutumia pete kama pambo lakini kumbe kuna maana Yake zaidi ..
Kidole Gumba; kuvaa pete katika kidole hichi huashiria Uhuru na nguvu ya ndani ,Pia ni chaguo la Watu wanaojiamini na wasio penda kufuata mkondo wa wengine..
Kidole cha Shahada; Kuvaa pete hapa huwakilisha Uongozi na mamlaka ,na pia katika historia Pete katika kidole hichi ilivaliwa na viongozi na wafalme mbali mbali na kua kama utambulisho wa nafasi hizo..
Kidole cha Kati ; Ni ishara ya mizani ,haki na nguvu ya maamuzi ,hapa wanavaa watu wanaosimama mahali pa machaguo magumu
Kidole cha Ndoa ; hapa huvaliwa na watu wanao kua katika mahusiano hasa ya kimapenzi na wanaamini hichi kidole kuna mshipa wa moja kwa moja hadi kwenye moyo
Kidole cha mdogo ; Hichi ni kidole cha mwisho kile chembamba huvaaliwa pete hata kuonyesha mawasiliano au busara au utambulisho wa wanajmumuia ya watu fulani
• UVAAJI WA PETE NA MAANA ZAKE KWENYE KILA K...
#akilifymedia #vidolenamaanazake #petemkono #jewellery #kidolegumba #chanda #maanayapetekatika #uvaajipete
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: