Power Request Online TV

Power Request Channel
Karibu Tujifunze Mafundisho ya Biblia yenye wokovu kwa watu wa Mungu.

1. Nyimbo mbalimbali zenye kufikisha Injili sehemu mbalimbali

2. Matukio yanayotokea kwenye mkutano

3. Kuibua watu wenye uhitaji wa kiroho na mwili waweze kupata msaada zaidi
4. Huduma ya Maombezi na uponyaji (Ushuhuda wa kumtukuza Mungu
5. Changamoto na Mapito ya jamii wanayopitia Baada tu ya kumiamini YESU

6. Chenel hii pia inakazi muhimu sana ya kufikisha injili sehemu mbali mbali Duniani kwa saport yako tumia namba za simu hapa chini
M pesa +255759755740 MOHAMED MGASE
Safaricom kenya 0758640372 MOHAMED MGASE
EQUITY BANK 3005111297049 MOHAMED MGASE

+255759755740
Contact : [email protected]📩