ANGUKO LA LUSIFA SEH 06- Ev. MOHAMMED MGHASE
Автор: Power Request Online TV
Загружено: 2025-05-17
Просмотров: 151
Anguko la Lusifa Sehemu ya Sita| Mhubiri Mohammed Mghase
Karibu katika sehemu ya sita ya mfululizo wa mafundisho yenye nguvu kuhusu "Anguko la Lusifa" yakiyohubiriwa na Mhubiri Mohammed Mghase. Katika sehemu hii, tunaendelea kuchambua kwa undani jinsi Lucifa alivyopoteza nafasi yake mbinguni, sababu za kuasi kwake, na athari zake katika ulimwengu wa kiroho hadi sasa.
📖 Mafundisho haya yamejikita katika maandiko matakatifu na yana lengo la kuufungua ufahamu wako kuhusu vita ya kiroho na nafasi ya mwanadamu katika mpango wa Mungu.
👉 Usisahau ku-like, ku-comment, na ku-subscribe ili usikose sehemu zinazofuata.
🔔 Bonyeza kengele ya arifa kupata taarifa kila tunapoweka video mpya.
#AngukoLaLucifa #MohammedMghase #MafundishoYaBiblia #Ukristo #Injili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: