Irene kamugisha

Naitwa Irene Kamugisha, rafiki yako wa faida, mtandaoni!

Karibu sana kwenye Channel hii, hujakosea kupita hapa! Hili ni jukwaa la fikra Chanya kupitia vipindi vya FixYou! Ni darasa huru kabisa kwa kila mtu anayependa kuwa mwanafunzi wa maisha!

Ninazungumzia mada mbali mbali hususani: ✅mahusiano na ndoa
✅Malezi
✅Fedha na uchumi binafsi
✅Story za kweli za maisha.

Nifanye kuwa rafiki yako wa faida kwa ku Subscribe kama bado, kama tayari ahsante sana na karibu katika #FixYou!

Nitumie story [email protected] ili tuweze kufanya kipindi pamoja!!

And Yes FixYou ilikua SnS na Sasa ipo hapa!