FixYou: Changamoto za ndoa zilivyopelekea mwanangu kuwa "Tomboy",
Автор: Irene kamugisha
Загружено: 2025-04-13
Просмотров: 6772
Katika mazungumzo haya #Rehemarwegasira anafundisha jinsi changamoto na magomvi katika ndoa zinavyoweza kuathiri hatma za watoto. Amesema mtoto wake wa kike alibadilika na kuvutiwa kuwa mwanamme kwasababu ya changamoto za ndoa alizokua akiziona kwa wazazi wake.
This is based on a true story...#fixyou Na Rehema Rwegasira.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: