TANZANIA Genz Tv

Karibu upate update za Tanzania, Kutoka kwenye mitandao ya kijamii ,Sikiliza mpaka mwisho na u SUBSCRIBE Bonyeza kengele ili usipitwe na habari/stori zote

UNFOLLOW WASANii wa Bongo Fleva/Bongomovie/Comedian kwenye Instagram, Facebook, Twitter, Tiktok (Usi subscribe kwa YouTube zao usipofanya hivo utakuwa umesapoti mauaji ya waliokufa Tarehe 29 October Usisapoti kazi za watu maarufu wasio upande wa wananchi...

Mwenyezi Mungu Azilaze roho za marehemu wote waliouawa Tarehe 29 October Mahalia pema peponi Amen..

#Hatufungamani na upande wowote tunatoa habari online #Tanzania #tanzaniatiktok #Tanzaniagenz #Tunaweza ✊🏾