Ndc Online Media


NDC Online Media ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachojivunia uwezo wa kutoa taarifa bora kwa kuzingatia misingi ya taaluma ya habari, maadili na sheria.

Tumejipanga kuandaa, kuchapisha, na kusambaza maudhui mbalimbali ikiwemo taarifa za kijamii, kisiasa, kiuchumi na za kijamii tukizingatia misingi ya taaluma ya habari, maadili na sheria za vyombo vya habari.

Taarifa tunazochapisha ni zile zilizo chakatwa, zilizo hakikiwa, na tunahakikisha kuwa zinazingatia ukweli ulio thibitishwa, tukilenga kutoa taarifa za manufaa na mabadiliko kwa jamii.

Tunajivunia uwezo wa kutoa mwelekeo sahihi wa mabadiliko kupitia uwazi wa habari, kila taarifa tunayoisambaza inakidhi viwango vya ubora kuleta athari ya moja kwa moja katika maendeleo ya taifa na jamii kwa ujumla.

Kwa maelezo zaidi na kushirikiana nasi, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

Email: [email protected]

Simu: 0672573061