Nina Tv

🎥 Karibu Nina TV – Channel Yako Bora kwa habari za kijamii, michezo, burudani na elimu ya maisha!
Tunakujuza kuhusu matukio ya kila siku katika jamii, maendeleo ya michezo ndani na nje ya nchi, pamoja na vipindi vya kuelimisha na kuburudisha.

📌 Usikose taarifa motomoto, mahojiano maalum, na vipindi vya kuhamasisha jamii yetu.
📢 Tunaamini katika nguvu ya habari kubadilisha maisha!

🔔 Subscribe sasa ili usipitwe na chochote kutoka Nina TV – Sauti ya Jamii!