“RUSHWA UCHAGUZI KIKWAZO KIKUU CHA DEMOKRASIA – TAKUKURU SINGIDA”
Автор: Nina Tv
Загружено: 2025-09-27
Просмотров: 536
Imeelezwa kuwa rushwa katika kipindi cha uchaguzi ni kikwazo kikubwa cha utawala bora, na huharibu misingi ya usawa, haki, uwajibikaji, demokrasia pamoja na uzingativu wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Sosthenes Kibwengo, wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mafunzo juu ya maadili ya uandishi kuelekea uchaguzi, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Ukaguzi wa Hesabu, mkoani hapa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: