CHRIST SECRET MISSION

IT’S ABOUT GOOD NEWS OF THE KINGDOM
“JESUS SAID IN MATTHEW 24:14”.

YESU ALISEMA TENA HABARI NJEMA YA UFALME ITAHUBILIWA TENA ULIMWENGUNI KOTE KUWA USHUHUDA, (MATHAYO 24:14) maana yake nini maandiko haya! Nikwamba injili imeshaachwa watu wamebaki na dini

Lakini ile injili ya Yesu imegeuzwa kuwa biashara na watu wamejıkınai.

Yesu analitaka kanisa lake ligeuke, lihubiri ukweli na wala sio mapokeo yaliyopo ambayo yamegeuka kuwa msingi wa mafundisho ambayo Yesu kristo hakuyaacha wamejitungia wenyewe kwa kuipotosha tafsiri ya neno la Kweli.

Jukwaa hili ni kwa ajili ya kufunua ukweli uliofichwa mda mrefu hakikisha haukosi ni kwa faida yako kujua tafsiri sahihi ya kile Yesu au maandiko yalimanisha na siyo kujikitia kwenye mihemko ya watu wanaojiita wasomi na kimbe wamekwama wanahali mbaya.