CHARLES MININGA USHUHUDA MZITO KWA KANISA DUNIANI KOTE
Автор: CHRIST SECRET MISSION
Загружено: 2022-10-03
Просмотров: 9833
Watu wa Mungu jueni haya yakuwa tunaishi katika wakati ambao kanisa halionekani,, milango ya kuzimu imemeza watu wa Mungu,, shetani anafanya vita na watakatifu na amefanikiwa kulipiga kanisa vibaya amebuni mavumbuzi ya kil
a namna na kanisa linayaishi pasipo kujua huku likijidai liko salama na wakati liko mbali na Kristo,, nakuomba ungana nami katika ushuhuda huu utajua mbinu za ibilisi alivyo fanikiwa kuliiba kanisa na kulitupa katika mageleza yake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: