Heshima ya Baba/Mume katika ndoa | Attiya Hassan
Автор: Iddi Mtumweni
Загружено: 2025-04-19
Просмотров: 244
Utohozi katika kipindi na Attiya Hassan, anayejulikana pia kama Somo Mtoto, mjasiriamali, mshauri wa ndoa, na mkufunzi mwenye uzoefu mkubwa katika masuala ya ndoa. Attiya anatushirikisha safari yake ya kufundisha ndoa tangu mwaka 2019, ambapo ameweza kusaidia maelfu ya wanandoa na wale wanaojiandaa kwa ndoa.
Je, ndoa za Kiswahili kihistoria zilidumishwa vipi? Nafasi ya jamii na familia katika ndoa ni ipi? Athari za mitandao ya kijamii na tamaduni za Magharibi zimebadilisha vipi ndoa za Kiswahili? Attiya anajibu maswali haya na mengine mengi kwa ufasaha na kwa kutumia uzoefu wake wa muda mrefu.
Ikiwa unatafuta mbinu za kudumisha ndoa yako kwa misingi ya maadili ya Mswahili huku ukikabiliana na changamoto za maisha ya kisasa, basi hii ni mahojiano ambayo hutaki kukosa!
Mazungumzo kamili bofya hapa 👇🏾
• Attiya Hassan (Somo Mtoto) | Jinsi ya Kudu...
Usikose!
Sikiliza, tazama video, na shiriki ili tuweze kuhamasisha na kufikia watu wengi zaidi. Kumbuka kuandika maoni yako na kushirikisha kiungo hiki na marafiki zako.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: