Violet Hobokela | Safari ya Maisha Marekani
Автор: Iddi Mtumweni
Загружено: 2025-02-18
Просмотров: 84
Karibu na leo kwenye SUKI Podcast tupo na Violet H. Mwandenga ni Mtanzania aliyeazisha kampuni ya “Life Coach” nchini Marekani, akitujuza safari yake, changamoto, mafanikio ikiwemo kitabu chake alichoandika na Brain Tracy na ushauri wake kwa vijana,
Unaweza kutuma link hii kwa wengine pia ili wapate kujifunza zaidi, tuandikie maoni yako hapo chini kwa yale tuliyozungumza.
.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: