Khadija Shamte – Mjasiriamali, Mtetezi wa Afya ya Akili, na Mshindi wa Tuzo
Автор: Iddi Mtumweni
Загружено: 2025-03-04
Просмотров: 68
Karibu kwenye IMtumweni Show! Leo, tunazungumza na Khadija Shamte, mshindi wa tuzo ya 1st Princess na Ms. Charity 2023, mwanzilishi wa miradi ya kipekee kama Binti Sultan Collection, na mtetezi wa afya ya akili kupitia SpicyChaiO'Clock. Katika kipindi hiki, Khadija anashirikisha safari yake ya kipekee kutoka kwenye sekta ya ukarimu, ujasiriamali, hadi kuboresha jamii kwa kupitia miradi ya afya ya akili.
Tunaangazia: Maisha ya utotoni na msukumo wa familia, Safari yake kwenye sekta ya usafiri na ukarimu, Changamoto na mafanikio kupitia Africa UK Umbrella Initiative, Ujasiriamali na miradi kama Puppies & Pedigree na Binti Sultan Collection , Juhudi za kuboresha afya ya akili kupitia podcast yake SpicyChaiO'Clock na Maono yake kwa siku zijazo na mbinu za utalii endelevu kupitia SafiriShwari
Usikose! Sikiliza, tazama video, na shiriki ili tuweze kuhamasisha na kufikia watu wengi zaidi. Kumbuka kuandika maoni yako na kushirikisha kiungo hiki na marafiki zako.
#IMtumweniShow #KhadijaShamte #Ujasiriamali #AfyaYaAkili #SpicyChaiOClock #BintiSultanCollection #PamojaTunaweza
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: