Tina Lasway | DICOTA
Автор: Iddi Mtumweni
Загружено: 2025-02-18
Просмотров: 9
Mikutano ya kimataifa inayoandaliwa na jumuiya mbali mbali za Watanzania wanaoishi nje ya nchi ni moja ya njia muhimu ya kuunganisha jamii ya wanadiaspora.
Hii ni SUKI Podcast Karibu katika kipindi maalum tukiwa na Bi. Tina Lasway ambae ni Rais wa Taasisi ya Watanzania wanaoishi Marekani - DICOTA,
Unaweza kutuma link hii kwa wengine pia ili wapate kujifunza zaidi, tuandikie maoni yako hapo chini kwa yale tuliyozungumza.
.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: