Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MBOWE- "WANAOKOSOA SERIKALI WANASTAHILI KUFA! HATUTAJENGA NCHI KWA BUNDUKI"

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-11-09

Просмотров: 210976

Описание:

Subscribe    / uwazi  
Kiongozi wa kambi ya upinzani, Mh Freeman Mbowe, alipokuwa Bungeni mjini Dodoma, katika Mkutano wa 9 wa Bunge la 11.

"Katika mazingira ya kwaida ya namna utawala wa nchi yetu ulivyo chama cha Mapinduzi kina dhamana kubwa kwa sababu ndiyo chama kinachozalisha ilani.

"Badala ya kuwa serikali ya Mapinduzi mkaona raha sana kujiita serikali ya Magufuli, na juzi katika ziara Mh Rais amerudia kauli hiyo, akisema CCM Kuna majizi vyama vya siasa kuna majizi, akasema ndiyo sababu yeye anasema serikali ni ya kwake.

"Sasa tunajiuliza hivi tuna serikali ya chama cha mapinduzi, au tuna chama kinachosiamamia serikali yake, ama tuna serikali ya Mtu anayejisimamia mwenyewe?, napata wakati mgumu sana ninaposikia wabunge wa chama cha Mapinduzi wanajinasibu serikali yetu, ameshawaambia serikali ni yake.

"Hatutaisadia nchi hii kwakuwa Wanafki, tutaisaidia nchi hii na serikali hii na wananchi wetu, kwakuwa wakweli, tupongeze pale ambapo tunafikiri kuna haki ya kupongeza, lakini wakati tunapokosea tusipoikemea serikali na kuiambia ukweli, na wale wanaoikosoa serikali wanaonekana wana stahili kufa na kuumizwa, hatutafika.
Subscribe    / uwazi1   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

MBOWE- "WANAOKOSOA SERIKALI WANASTAHILI KUFA! HATUTAJENGA NCHI KWA BUNDUKI"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Mbunge Bashe Alivyomkaba Koo Waziri wa Fedha, Dkt Mpango!!!!

Mbunge Bashe Alivyomkaba Koo Waziri wa Fedha, Dkt Mpango!!!!

BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU

BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU

❗❗ Близится РАЗВЯЗКА! Зеленский переубедит Трампа относительно судьбы РФ

❗❗ Близится РАЗВЯЗКА! Зеленский переубедит Трампа относительно судьбы РФ

BUNGE - JULY.03.2015| TBC

BUNGE - JULY.03.2015| TBC

Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni

Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni

Julius Nyerere speaks on Idi Amin and Uganda  (1979)

Julius Nyerere speaks on Idi Amin and Uganda (1979)

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO

Раскол элит: ТОФИК ЗУЛЬФУГАРОВ раскрыл подлинные причины напряжённости между Баку и Москвой

Раскол элит: ТОФИК ЗУЛЬФУГАРОВ раскрыл подлинные причины напряжённости между Баку и Москвой

⚡ РЕШАЮЩАЯ ВСТРЕЧА для Украины в США! Документы готовы, переговорщики все согласовали

⚡ РЕШАЮЩАЯ ВСТРЕЧА для Украины в США! Документы готовы, переговорщики все согласовали

MASWALI KWA WAZIRI MKUU: Mbowe achafua hali ya hewa

MASWALI KWA WAZIRI MKUU: Mbowe achafua hali ya hewa

SUGU:

SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

Кремль СКРЫВАЕТ эту КАТАСТРОФУ! Экономике РФ совсем ПЛОХО! Рубли ГОРЯТ!

Кремль СКРЫВАЕТ эту КАТАСТРОФУ! Экономике РФ совсем ПЛОХО! Рубли ГОРЯТ!

УЖЕ ЗАВТРА! Зеленский отправился на ПЕРЕГОВОРЫ с ТРАМПОМ! РЕШАЮЩАЯ встреча для УКРАИНЫ!

УЖЕ ЗАВТРА! Зеленский отправился на ПЕРЕГОВОРЫ с ТРАМПОМ! РЕШАЮЩАЯ встреча для УКРАИНЫ!

“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche

“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche

PART 1: MBOWE ACHARUKA LISSU KUGOMBEA

PART 1: MBOWE ACHARUKA LISSU KUGOMBEA "KUHUSU KUNG'ATUKA" SALIM KIKEKE AMHOJI

“Hata mkitumia mabavu Mungu anajua ukweli” –John Heche

“Hata mkitumia mabavu Mungu anajua ukweli” –John Heche

Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo

Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo

VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni kwenye swali kwa Waziri mkuu

VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni kwenye swali kwa Waziri mkuu

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]