MASWALI KWA WAZIRI MKUU: Mbowe achafua hali ya hewa
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2017-02-02
Просмотров: 36822
Hali ya kutoelewana, leo imeibuka katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa waziri Mkuu Bungeni, baada ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzanin Bungeni, Freeman Mbowe kuhoji kuhusu madai ya rais kutaka kuvifuta vyama vya siasa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: