Je Ni halali Mwanamke Kuwa Mwalimu/Mchungaji/Shemasi katika KANISA ? (1Tim
Автор: King-Priest
Загружено: 2024-04-30
Просмотров: 1062
JE "KATIKA KANISA" Mwanamke anaweza kuwa MWALIMU AU SHEMASI AU MZEE WA KANISA/MCHUNGAJI
Hasa ukizingatia haya maandiko
1Tim 2: 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
vs
Gal 3: 28 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
vs
1Kor 14: 34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.
36 Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?
37 Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.
38 Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.
________
Ibrahim Nzunda
0754210627
______
Follow WhatsApp channel yetu kupata masomo
https://whatsapp.com/channel/0029Va9S...
👆 follow hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: