Mazulia na mikoba kutokana na mgomba
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2021-04-29
Просмотров: 407
Nchini Uganda, watu wanaitumia migomba sio tu kupata ndizi za matoke, bali pia kutengeneza mikoba, mazulia, mifuko, nywele za bandia na hata mapambo ya kwenye nyumba. Ambatana na Ibrahim Shoaib akuoneshe hayo yanavyofanyika. Kurunzi 29.04.2021.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: