Ubunifu wa kutengeneza samani kwa Kamba Dar es Salaam
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2023-02-17
Просмотров: 473
Utengezaji wa pembea na makabati kwa kutumia kamba ni njia moja ya kuwaingizia vijana kipato pamoja na kunusuru mazingira kinyume na bidhaa nyingi za aina hiyo ambazo huagizwa toka mataifa ya mbali. Tazama ubunifu wa vijana hawa mjini Dar es Salaam. #kurunzi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: