Baadhi ya wazazi Mombasa wadai watoto wao wa kiume wanatoweka kwa njia ya kutatanisha
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2015-08-11
Просмотров: 3757
Habari za kutoweka kwa vijana wa kiume katika eneo la Pwani zimefufuka tena baada ya baadhi ya wazazi mjini Mombasa kujiunga na mashirika ya haki kulalamika vikali kuhusu kile wanasema ni kuendelea kutoweka kwa watoto wao wa kiume kwa njia za kutatanisha….aidha wamedai kwamba wamekuwa wakitoweka punde baada ya kushikwa na vyombo vya usalama
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: