Mjadala waibuka kaunti ya Mombasa kuhusu vazi la buibui
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2015-01-31
Просмотров: 6081
Tangu jadi hadi wa leo vazi la buibui limekuwa maarufu sana miongoni mwa akina dada katika eneo la pwani - mbali na kumpa heshima mwanamke, vazi hili limekuwa kitambulisho mahsusi katika himaya za kidini…..hata hivyo kizazi baada ya kingine vazi hili limebadilika sura na hata baadhi ya matumizi yake sasa yanaanza kutiliwa shaka.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: