Msikiti wa miaka zaidi ya 450 wa Mombasa Kenya
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-11-08
Просмотров: 4119
Mji wa Kale, Mombasa, ni eneo lenye historia kubwa na utajiri wa utamaduni wa pwani ya Kenya. Miongoni mwa majengo ya kihistoria katika eneo hili ni Msikiti wa Mandhry, uliojengwa mwaka 1570, miaka 23 kabla ya Fort Jesus.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: