MAMBO MATANO USIFANYE UKIWA KWENYE MFUNGO (MAOMBI)
Автор: HOPERISE MINISTRIES TV
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 23112
#motivation#hopechanneltanzania Mfungo ni wakati wa kujinyenyekeza mbele za Mungu, si wa kufanya maamuzi ya haraka au kuendeshwa na hisia. Katika somo hili tutajifunza mambo matano muhimu ambayo Mkristo hapaswi kuyafanya akiwa kwenye mfungo ili kuepuka kuharibu kusudi la Mungu katika maisha yake.
“Rudini kwangu kwa mioyo yenu yote, kwa kufunga na kulia.” – Yoeli 2:12#motivation
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: