Mkurugenzi wa Precision Air Tanzania aeleza ugumu wa biashara ya usafiri wa ndege
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2023-03-31
Просмотров: 2488
Mashirika ya ndege katika baadhi ya nchi za Afrika yamekuwa yakikabiliwa na changamoto mbalimbali za uendeshaji shughuli zake. Ungana na mwandishi wetu katika mahojiano maalum na Mkurugenzi wa Precision Air Tanzania akieleza ugumu wa biashara ya huduma ya usafiri wa ndege na uelewa wa biashara hii katika nchi za Kiafrika. Endelea kumsikiliza...
#precisionair #ndege #mashirika #afrika #uendeshaji #biashara #usafiri #Tanzania #voa #voaswahili #dunianileo
- - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: