SAID NKUMBA ARUDI RASMI CCM
Автор: ccmchama
Загружено: 2015-09-15
Просмотров: 6212
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sikonge Ndugu Said Nkumba ,kisha akakihama Chama Cha Mapinduzi na kuhamia Chadema baada ya kushindwa kwenye mchakato wa kura za maoni amerudi rasmi CCM na kukabidhi kadi yake kwa mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli na kuahidi kufanya kazi za CCM kwa moyo mmoja.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: