Kampeni: Mwenyekiti CCM Tabora amgusa Sumaye
Автор: Tununu
Загружено: 2015-09-14
Просмотров: 7221
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi amesema wana Tabora wasiwe wasahaulifu, Sumaye alihamisha chuo cha Tabora nyuki na kupeleka Arusha, leo ingekua chuo kikuu kishiriki pale chuo cha nyuki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: