Nkumba achaguliwa mwenyekiti mpya CCM Tabora
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-07-04
Просмотров: 1058
Said Juma Nkumba amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora katika uchaguzi uliofanyika mjini humo.
Uchaguzi huo mdogo umefanyika leo mjini Tabora, ambapo Nkumba amepata kura 1,006 kati ya kura halali 1,119 zilizopigwa, huku washindani wake Athuman Futakamba akipata kura 50 na Saada Ibrahim 63.
Uchaguzi huo ulikuwa wa kujaza nafasi ya Hassan Wakasuvi aliyefariki dunia February 22, mwaka huu akiwa ofisini kwake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: