RATIBA safari za Meli ya New Victoria na New Butiama
Автор: BMG ONLINE TV
Загружено: 2020-08-12
Просмотров: 2256
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL), Eric Hamissi Jumatano Agosti 12, 2020 ametoa ratiba ya safari za meli ya New Victoria "Hapa Kazi Tu" Pamoja na New Butiama "Hapa Kazi Tu".
Meli hizo zinarejea kazini baada ya kufanyiwa matengenezo makubwa. Hatua hiyo inakuja baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza meli hizo zianze kusafirisha abiria na mizigo alipofanya ziara katika bandari ya Mwanza Kusini Jumapili Agosti 09, 2020. #BMGHabari
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: