FAHAMU HATUA ZA KUCHUKUA KISHERIA UKIUZIWA BIDHAA MBOVU
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 83
Wakili wa kujitegemea Emmanueli Kimei amesema kila mtu ana haki juu ya bidhaa anayonunua ambapo ni mkataba wa kununua na kuuza ingawa hakuna maandishi ikiwa sheria inatambua mkataba huo kwa mnunuaji wa bidhaa ya matumizi sahihi.
Kimei amesema hayo katika #MorningExpress akizungumzia hatua za kuchukua kisheria ikiwa umeuziwa bidhaa mbovu.
#Ufmupdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: