Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NAIBU WAZIRI ELIMU WANU ONGEZENI KASI UJENZI WA MIUNDOMBINU DIT MWANZA IKAMILIKE KWA WAKATI

Автор: BONGO PLAY TELEVISION

Загружено: 2025-12-15

Просмотров: 645

Описание:

NAIBU WAZIRI ELIMU WANU ONGEZENI KASI UJENZI WA MIUNDOMBINU DIT MWANZA IKAMILIKE KWA WAKATI

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amemtaka Mkandarasi wa COMFIX & ENGINEERING kuongeza kasi ya ujenzi wa miundombinu ya Mradi wa Kujenga Ujuzi na Ushirikiano Afika Mashariki katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza, ili ikamilike kwa wakati kulingana na maktaba.

Ametoa maagizo hayo Leo jijini Mwanza wakati akikagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo huku akiwataka wazabuni wote kuhakikisha vifaa na mitambo vinawasili na kufungwa kwa wakati ili kuwezesha utoaji wa mafunzo kwa wakati

Mhe. Wanu Ameir amesema ucheleweshaji wa ujenzi unaweza kuathiri malengo ya Serikali ya kuhakikisha vijana wanapata ujuzi na umahiri unaohitajika katika soko la ajira la ndani na kimataifa, kama alivyoelekeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa upande Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Daniel Mushi, amesema kuwa katika Kampasi ya DIT Mwanza kinajengwa Kituo cha Kikanda cha Umahiri cha uchakataji na utengenezaji wa bidhaa za Ngozi ambacho kinatekelezwa kupitia Mradi wa EASTRIP. Amesema kuwa ujenzi huo unahusisha majengo matano ambayo ni jengo la kufundishia, jengo la taaluma, hosteli mbili na karakana ya kisasa kwa ajili ya mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi

Nae Mkurugenzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar Es Salaam (DIT) Kampasi ya MWANZA Dkt. John Msumba amesema kuwa Kampasi hiyo imefufua Sekta ambayo ilikuwa imekufa nchini kutokana na kukosekana Kwa wataalamu na kwamba Viwanda Kwa sasa vinapata wataalamu tofauti na awali ambapo walikuwa wakilazimika kuwatoa nje ya nchi.

NAIBU WAZIRI ELIMU WANU ONGEZENI KASI UJENZI WA MIUNDOMBINU DIT MWANZA IKAMILIKE KWA WAKATI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Serikali yatoa miezi miwili ujenzi, mradi wa chuo cha ngozi Mwanza kukamilika

Serikali yatoa miezi miwili ujenzi, mradi wa chuo cha ngozi Mwanza kukamilika

USIYOYAJUA KUHUSU WANU; MTOTO WA RAIS SAMIA ALIYETEULIWA KUWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU

USIYOYAJUA KUHUSU WANU; MTOTO WA RAIS SAMIA ALIYETEULIWA KUWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU

MAHAFALI YA 19 DIT KAMPASI YA  MWANZA WAHITIMU WAKUMBUSHWA .

MAHAFALI YA 19 DIT KAMPASI YA MWANZA WAHITIMU WAKUMBUSHWA .

Заместитель министра образования Хафид Амейр приказал VETA немедленно возобновить приостановленны...

Заместитель министра образования Хафид Амейр приказал VETA немедленно возобновить приостановленны...

WANU HAFIDH AMEIR ATEULIWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU - MCHENGERWA ATEULIWA WAZIRI MPYA WA AFYA...

WANU HAFIDH AMEIR ATEULIWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU - MCHENGERWA ATEULIWA WAZIRI MPYA WA AFYA...

WAZIRI MKENDA NA NAIBU WAZIRI WANU AMEIR, WAPOKELEWA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

WAZIRI MKENDA NA NAIBU WAZIRI WANU AMEIR, WAPOKELEWA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

🔥Ikulu Imewaka Moto!! Bonface Mwabukusi Achezi Na Samia AAngusha Kombora

🔥Ikulu Imewaka Moto!! Bonface Mwabukusi Achezi Na Samia AAngusha Kombora

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

WALIOHUSIKA NA UPOTEVU  WA MILIONI 48 ZA MRADI WA SHULE KIKAANGONI MTWARA

WALIOHUSIKA NA UPOTEVU WA MILIONI 48 ZA MRADI WA SHULE KIKAANGONI MTWARA

Эти 8 Фраз выдают Глупца за секунду! Вы слышите эти фразы каждый день! Еврейская мудрость

Эти 8 Фраз выдают Глупца за секунду! Вы слышите эти фразы каждый день! Еврейская мудрость

Акунин ошарашил прогнозом! Финал войны уже решён — Кремль скрывает правду

Акунин ошарашил прогнозом! Финал войны уже решён — Кремль скрывает правду

WANU HAFIDH AMEIR ATEULIWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU - MCHENGEEWA APEWA WIZARA YA AFYA - MAKONA NAE YUMO

WANU HAFIDH AMEIR ATEULIWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU - MCHENGEEWA APEWA WIZARA YA AFYA - MAKONA NAE YUMO

MAPYA! UKIPATA NIDA NDO MTANZANIA HALISI BILA NIDA UPATI MCHUMBA,TUTAJUA KAMA UMEACHIKA KWENYE NDOA

MAPYA! UKIPATA NIDA NDO MTANZANIA HALISI BILA NIDA UPATI MCHUMBA,TUTAJUA KAMA UMEACHIKA KWENYE NDOA

KIKOSI KAZI CHA MAWAZIRI HIKI HAPA/MAKONDA AWEKWA NDANI/WANU AWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU

KIKOSI KAZI CHA MAWAZIRI HIKI HAPA/MAKONDA AWEKWA NDANI/WANU AWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU

Ona Dar es Salaam ya Zamani (1920s–1970s) | Historia ya Mzizima | Makala a.i

Ona Dar es Salaam ya Zamani (1920s–1970s) | Historia ya Mzizima | Makala a.i

KAMCHAPE WAANZA KUSAKWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

KAMCHAPE WAANZA KUSAKWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

SIRI NZITO ANACHOKIFANYA DP WORLD KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM, MABILIONI YAOKOLEWA

SIRI NZITO ANACHOKIFANYA DP WORLD KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM, MABILIONI YAOKOLEWA

BILA WOGA ASKOFU BAGONZA AICHANA SERIKALI MBELE YA WAZIRI SIMBACHAWENE,

BILA WOGA ASKOFU BAGONZA AICHANA SERIKALI MBELE YA WAZIRI SIMBACHAWENE, "SEMENI UKWELI"

Rais Samia amteua Paul Makonda, Wanu Ameir, Ridhiwani Kikwete na Mawaziri wengine Wizara Tofauti

Rais Samia amteua Paul Makonda, Wanu Ameir, Ridhiwani Kikwete na Mawaziri wengine Wizara Tofauti

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]