Polisi Dandora wanatafuta Nelson Omeno baada ya kudaiwa kumuua binti yake wa miaka 15
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 3158
Polisi mtaani Dandora wanamtafuta mtu mmoja kwa madai ya kuhusika na mauaji ya mwanawe wa umri wa miaka 15. Inadaiwa kuwa Nelson Omeno alimtandika mwanawe alipoondoka kwenda kumtembelea mamake ambaye walikuwa wametengana. Mwili wa binti huyu baadaye ulipatikana nje ya hospitali ya Mama Lucy ulikopatikana na majeraha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: