Matembezi Ya Usiku Kwenye Mitaa Ya Beverly Hills, California, USA 🇺🇸
Автор: Jack USA
Загружено: 2023-05-11
Просмотров: 12062
Leo nilitembelea mtaa unaitwa Rodeo Drive uliopo Beverly Hills, California huku yues (Marekani). Rodeo Drive ni mtaa uliozungukwa na maduka yenye bidhaa zenye gharama zaidi kama vile Louis Vuitton, Gucci, Versace, Prada nk. Pia kuna migahawa mbalimbali. Hii ni sehemu ambayo matajiri na watu wengi maarufu hupendelea kuja kufanya shopping.
Tazama video hii ili ujionee yanayojiri katika mitaa hii ya Rodeo Drive, Beverly Hills nyakati za usiku.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Haya Ndiyo Maonesho Makubwa Ya Magari Ya Z...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: https://www.tiktok.com/@jackchalz?_t=...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #losangeles #beverlyhills
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: