Maoni: Upi mustakabali wa nchi za Sahel?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-09-21
Просмотров: 3491
Baada ya baadhi ya nchi zinazoongozwa kijeshi katika kanda ya Sahel kutangaza muungano mpya na nia ya kuwa na pasipoti ya pamoja, maswali ni mengi yanayoibuka ikiwemo ikiwa tija ya mwelekeo huo. Na je, ni kipi kimechochea mwelekeo huo? Mengi zaidi ni kwenye kipindi cha #Maoni mbele ya#MezaYaDuara. Nahodha wa zamu ni Josephat Charo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: