MBOWE ATWANGA MASWALI MAZITO,KUHUSU KANUNI ZA UCHAGUZI MBELE YA KABUDI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-05-08
Просмотров: 3828
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema "tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa miezi minne ijayo hatujui kanuni,wanaojua ni serikali,wameshindwa nini kushirikisha wadau kwenye hizi hatua,unakwenda kwenye chaguzi hujui kanuni zinatoka lini na zikitoka hujui zinatoka na nini,
Mbowe ni moja ya washiriki walioshiriki mkutano wa kitaifa wa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025 leo Mei 08,2024 uliofanyika katika maktaba mpya ya Chuo kikuu cha Dar es salaam
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: