🔴 WANANCHI RUVUMA WAIPONGEZA SERIKALI KUTEKELEZA KWA VITENDO SERA YA ELIMU YA AMALI
Автор: RUVUMA TV
Загружено: 2026-01-04
Просмотров: 58
Wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wameipongeza Serikali kwa kutekeleza kwa vitendo sera ya elimu ya amali katika shule za msingi na sekondari, wakisema hatua hiyo ni chachu ya maendeleo ya elimu na ustawi wa vijana.
Wakizungumza kuhusu uwepo wa shule za amali mkoani ruvuma, wananchi wamesema shule hizo zitasaidia kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto ya wanafunzi kuwa tegemezi baada ya kumaliza masomo, kwani watapata ujuzi wa fani mbalimbali za ufundi zitakazowawezesha kujiajiri na kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: