MEDICOUNTER: Mvurugiko wa homoni mwilini husababishwa na nini?
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-03-28
Просмотров: 48331
Limekuwa jambo linalozungumzwa sana miongoni mwa wanawake kuhusiana na mabadiliko ya hali za kimwili zinazosababishwa na mabadiliko ya mpangilio wa homoni mwilini mwake.
Je, mabadiliko ya homoni husababishwa na nini na tatizo hilo hudhibitiwa vipi?
Ungana na Dafrosa Prosper ndani ya MEDICOUNTER kupata undani juu ya hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: