Mwanamke anayemiliki kiwanda cha kusindika unga wa muhogo
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2020-05-20
Просмотров: 2767
Bi Rukia Liumba ni mwanamke anayemiliki kiwanda cha kusindika unga bora wa Muhogo kilichopo kijiji cha Mtendachi Mkoani Mtwara, na Kurunzi Wanawake leo inampatia fursa ya kueleza safari yake, mafanikio na fursa anazotoa. #kurunziwanawake 20.05.2020.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: