KIWANDA CHA MUHOGO LINDI
Автор: Uwekezaji TV
Загружено: 2019-03-20
Просмотров: 3920
Kiwanda cha Cassava Starch Tanzania Corporation kilichopo Lindi. Kiwanda hiki kinazalisha unga wa muhogo ndani ya masaa sita kutokana na muhogo mbichi. Kiwanda hiki ni tofauti na tulivyozoea kwamba ili tupate unga wa muhogo inabidi zipite siku saba
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: