KIWANDA CHENYE UWEZO WA KUSAGA MAHINDI MAGUNIA 9000 MKOMBOZI WA WAKULIMA MKOANI RUVUMA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2019-02-09
Просмотров: 21064
CAMIL GROUP ni kiwanda chenye uwezo wa kusaga mahindi gunia 300 kwa siku sawa na magunia 9000 kwa mwezi.Kiwanda hiki kilichojengwa kata ya Ruhuwiko Manispaa ya Songea kimeajiri wafanyakazi wa kudumu 10 na vibarua 20.Wakulima wa wilaya ya Songea wamepata sehemu ya kuuzia mahindi yao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: