TAARIFA MUHIMU ZINAZOANGALIWA KATIKA AJIRA PORTAL
Автор: AJIRA TV
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 5657
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini Bi. Lynn Chawala, katika mahojiano kwenye kipindi cha Morning Special cha radio Abood FM, Mkoani Morogoro amesema kuwa ili kuomba ajira Serikalini ni lazima kujiunga na Ajira Portal na kuhakikisha umejaza taarifa muhimu pamoja na kuambatanisha nyaraka muhimu kama vyeti vya kitaaluma, picha ya passport, transcript na cheti cha kuzaliwa.
Aidha alibainisha kuwa taarifa za wadhamini pia ni muhimu kujaza wadhamini ambao wanakufahamu au upo nao karibu na wanaweza kutoa taarifa zako pindi zikihitajika.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: