Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

SIRI ILIYOMO KWENYE CHAKULA CHA BWANA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Автор: Reality of Christ Church

Загружено: 2021-06-27

Просмотров: 5297

Описание:

Yohana 6:56
[56]Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.

Yule mwanamke aliyekuwa akitokwa na damu kwa muda wa miaka 12 aliposhika tu pindo la vazi la Yesu alipokea uponyaji wake palepale,hii inatuonesha kwamba hauwezi ukakaa au ukakutana na Yesu na ukabaki kama ulivyo.Mungu akiwepo kwenye eneo fulani vitu hubadilika.
Hapo ni Yesu aliyekuwa nje,lakini sisi ametupa nafasi kubwa zaidi ya kumgusa,ametupa nafasi ya kula mwili wake na damu yake,ametupa nafasi ya Yeye kukaa ndani yetu.Ni zawadi kubwa sana maana anapoingia ndani yetu hubadili na kuondoa kila ambacho sio pando lake kwetu na huleta kila ambacho ni mapenzi yake kwenye maisha yetu.

Katika ibada hii tulipata neema ya kushiriki mwili na damu yake na tumeshuhudia akifungua watu wengi kutoka katika vifungo vya nguvu za giza kwa ukubwa sana.
Umbali sio kigezo,kama Mungu alivyofanya kwa hawa akafanye na kwako pia.

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook:   / therealityof.  .
Follow our Instagram:   / realityofch.  .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:   / @rocworshipperz  

SIRI ILIYOMO KWENYE CHAKULA CHA BWANA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

SAUTI YA ROHO MTAKATIFU - BISHOP SUNBELLA KYANDO

SAUTI YA ROHO MTAKATIFU - BISHOP SUNBELLA KYANDO

Nguvu Iliyopo Kwenye Meza Ya Bwana Pastor Sunbella

Nguvu Iliyopo Kwenye Meza Ya Bwana Pastor Sunbella

Hali yasalia shwari Tanzania Disemba 9, katika Dira ya Dunia TV

Hali yasalia shwari Tanzania Disemba 9, katika Dira ya Dunia TV

ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

SIRI ZILIZO KWENYE UDONGO

SIRI ZILIZO KWENYE UDONGO

Kikwete: Raisi kivuli anayemuongoza samia kuihujumu Tanzania.

Kikwete: Raisi kivuli anayemuongoza samia kuihujumu Tanzania.

1.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA

1.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING  10 DECEMBER 2025

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 10 DECEMBER 2025

LIVE :    IJUE NGUVU YA NENO USIOGOPE KATIKA KULETA USHINDI DHIDI YA MASHAMBULIZI. VOL 5

LIVE : IJUE NGUVU YA NENO USIOGOPE KATIKA KULETA USHINDI DHIDI YA MASHAMBULIZI. VOL 5

Zifahamu athari za kumficha mtoto wa nje ya ndoa na jinsi ya kuziepuka

Zifahamu athari za kumficha mtoto wa nje ya ndoa na jinsi ya kuziepuka

Нерассказанная история ДИНЫ — Тайна дочери ИАКОВА и сила восстановления

Нерассказанная история ДИНЫ — Тайна дочери ИАКОВА и сила восстановления

IBADA YA FAGIA FAGIA - PASTOR JOHN SEMBATWA

IBADA YA FAGIA FAGIA - PASTOR JOHN SEMBATWA

KUMEKUCHA‼️Samia SULUHU Toctured By TANZANIA Gen Zs After THIS Happened

KUMEKUCHA‼️Samia SULUHU Toctured By TANZANIA Gen Zs After THIS Happened

#2. CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU

#2. CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU

THE MYSTERY OF SPIRITUAL LEAKAGES || PASTOR JEAMS OLUMASAI

THE MYSTERY OF SPIRITUAL LEAKAGES || PASTOR JEAMS OLUMASAI

ZAKA NA SADAKA: Je, Fungu la Kumi Linaendelea Katika Agano Jipya?

ZAKA NA SADAKA: Je, Fungu la Kumi Linaendelea Katika Agano Jipya?

CHAKULA CHA BWANA NI SADAKA YA MSINGI YA KUVUNJA KILA NIRA.BY BISHOP FJ KATUNZI

CHAKULA CHA BWANA NI SADAKA YA MSINGI YA KUVUNJA KILA NIRA.BY BISHOP FJ KATUNZI

1.MWALIMU GRACE-- KUSHUGHULIKIA MATATIZO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO WA ARDHI SIKU YA KWANZA(1)

1.MWALIMU GRACE-- KUSHUGHULIKIA MATATIZO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO WA ARDHI SIKU YA KWANZA(1)

KUSUDI LA MEZA YA BWANA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 19/05/2024

KUSUDI LA MEZA YA BWANA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 19/05/2024

[Wednesday 10th December, 2025]Start Your Day With prayer Spiritual Prayer-Apostle Joshua Selman

[Wednesday 10th December, 2025]Start Your Day With prayer Spiritual Prayer-Apostle Joshua Selman

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]