Zifahamu athari za kumficha mtoto wa nje ya ndoa na jinsi ya kuziepuka
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-02-05
Просмотров: 1741
Mara kadhaa hushuhudiwa watoto wa nje ya ndoa wakitambulishwa misibani au kutambulishwa wakiwa tayari ni watu wazima, suala ambalo huibua sintofahamu wakati fulani.
Je ni utaratibu upi unaweza kutumika katika kuwatambulisha watoto wa nje ya ndoa kwa familia zao bila kuwepo na athari kubwa, kwa upande mwingine ni kwa kiasi gani familia iliyoficha watoto wa nje ya ndoa inavyoweza kuathirika au kuhujumiwa. Lakini swali kubwa ni kwanini baadhi ya watu huficha watoto wa nje ya ndoa?.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: