MUSUKUMA MBELE YA WANAHABARI, ACHUKIZWA KUMDHIHAKI HAYATI MAGUFULI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-07-14
Просмотров: 282910
Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Anthony Dialo kuzungumza na Vyombo vya Habari na kuomba radhi juu ya kauli alizozitoa wakati wa mahojiano na kituo cha Televisheni cha Star TV, leo July 14 aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita ambae kwa sasa ni Mbunge wa Geita Joseph Musukuma ameongea mbele ya Vyombo vya Habari
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: